Looking for girlfriend

Looking for girlfriend

Jackson jonh

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Naishi dar ila kwa sasa niko home tarime mara na nitakaa zaidi ya miezi sita.natafuta mpenz wa kunipa faraja kutoka tarime.au hata kama una rafiki yako huku unaweza niunganisha nae
 
Nenda kwa mjumbe wa nyumba 10 umwambie shida yako....
 
sijajua kuhusu hilo kwan yapata miaka kumi nilikuwa sipo home ndo niko safarin nikitokea dar

Kama Uko Kwa Wema Na Unataka Uenjoy, Mi Nakushauri tafuta Binti Hapo Mtaani Kwenu
sijaona Sababu Ya Kuhangaika Na Mabinti Wa Mitandaoni!
Ahsante Jigo
 
Mimi sipo tarime ila nipo tayari kuja huko kwa ajiri yako, tuwasiliane nikupe namba yangu unitumie nauli kwa M-Pesa.
 
Mdau tafuta mshikaj wa ukwel hapo kitaa zen akupe ramani jinsi ya kupata mrupo wa kutuliza ungenge coz mbali na hapo usije kula visivyoliwa
 
Just girlfriend?? na behind girlfriend mbona giza? hujatuelezea mkuu,au ndio michepuko watafuta??
 
Back
Top Bottom