Christinaa
Member
- Jul 16, 2016
- 26
- 74
Hello..!
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli....
Mm ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano
Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana
Yote nnayo kasoro hili tuawe mkristo
Kaka umeghairi kutafta huko kijijini?!I'm your perfect match baby doll.
Hello..!
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli....
Mm ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano
Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana
I'm just 28 yrs old, naweza pewa favour ya kukaa pembeni yako nd hold your hand lovely as we talk?Hello..!
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli....
Mm ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano
Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana
Thanks a lot!Wishing you all the best!!!
I'm your perfect match baby doll.
Asante nimelitambua tatizoaaf mtia nia Christinaa , umeant MANY gentleMEN au ni makengeza yangu ?
kama ndivyo sogeza kidogo window ya age
Ndo kiingereza gani hiki? Kwa nini usiandike tu kibongo mkuu?Am just pass through
Weka namba nkuchekiHello..!
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli....
Mm ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano
Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana
Hahaha uzi bado upo, means hajaja pm??njoo pm tumalize hii biashara mapema na huu uzi uondoe hapa