Looking For an Internship.

Looking For an Internship.

Asante kaka kwa complement, karibu kunisaidia kutafuta mkate wa kila siku.

You might not assist me to reach my goal directly, your prayer and best wishes would be much appreciated mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
You are welcome mr.
Nimejaribu kikiristu kidogo.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Anzia kujaribu kwenye hili la NBS mkoa uliopo... usiogope utapata
Asante kaka kwa ushauri!

Nimeona kwenye matangazo za ofisi husika kuwa lazima utoke eneo husika na katika maombi unatakiwa uambatanishe na barua ya mtendaji.

Kwa bahati mbaya kwa hili mm ni mkaazi wa Zanzibar, unguja. Na NBS hawana ofisi na isitoshe hawafanyii utafiti huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom