dina msangi
New Member
- Nov 7, 2013
- 1
- 1
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20 natafuta kazi kwenye campun au office yoyote ile nina diploma ya IT naombeni msaada wenu
ahsanten sanaa
ahsanten sanaa
Una miaka mingapi?
Ni kweli nimekosea..sikusoma kwa umakini hii tred..
Unaweza kuni text natafuta cashier kwenye workshop yangu. Karibu sana