Haha, mimi nakuelewa. Tatizo kingereza chake na mpangilio wa mawazo vina ukakasi,, ila hajui na hajui kama hajui!! Anataka phd kama faru john,, matusi kwa taaluma
Haha, mimi nakuelewa. Tatizo kingereza chake na mpangilio wa mawazo vina ukakasi,, ila hajui na hajui kama hajui!! Anataka phd kama faru john,, matusi kwa taaluma
Naona umeacha mada kuu umeenda kwenye grammar, embu rudi kasome kuhusu profession, professionalism, na professional usome yatumika katika context gani halafu urudi.
And remember the one is adjective na nyingine noun so go and read wapi yanatumika na katika mazingira gani. Halafu utunge na sentensi kama mbili kwa kila neno, then ufananishe na hiyo ya kwangu.
And remember the one is adjective na nyingine noun so go and read wapi yanatumika na katika mazingira gani. Halafu utunge na sentensi kama mbili kwa kila neno, then ufananishe na hiyo ya kwangu.
Halafu kubagua nimebagua sehemu nyingi sana, mbona nilivyosema nataka mrefu hujasema nabagua wafupi? Au ubaguzi huwa unauona kwenye dini tu, au nimegusa maslahi?
Hujanielewa sijahitaji mtu wa kunifadhili Phd, nimesema kama akatokea atakaekubali kuwa mpenzi basi aniruhusu kujiendeleza huko mbeleni as i have planned, Sponsor niliyomaanisha hapo siyo uliyoielewa!