Looking at this political abracadabra; wanasiasa kumbukeni mtawala ni Magufuli

Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,698
4,693
Fast forward; Kikwete alipoingia madarakani, kambi ya Mkapa ilisahaulika. Kundi jipya liliundwa na kudeka, na kudeka sana! Baadhi ya wafuasi wa Mkapa walijikuta mahakamani na mstaafu Mkapa alijikuta akiiitwa mahakamani kutoa ushahidi wa Prof. Mahalu.

Mstaafu Mkapa aliwahi kuzomewa barabarani maeneo ya Mwenge na waiosadikika kuwa wana mtandao!! Mstaafu Mkapa alishindwa hata kufika ktk sherehe za kitaifa. Kwa ujumla alipotea kwa muda.

Hii ni enzi ya Magufuli. Baadhi ya wanasiasa wanajiona wanapata taabu ya umaarufu wao. Kwa mtazamo wangu, watu hawa wanatakiwa kukumbushwa kwamba hii siyo enzi yao.

Matatizo ni yao, kutaka kuvuka awamu moja kuingia awamu nyingine na umaarufu ule ule! Hii siyo enzi yao! The past has gone.
 
Mmmmh! Wakati mwingine munasema kweli saana! Nakumbuka mstaafu Mkapa akiwa mahakamani na sidhani kama aliwahi kufika ikulu tena eti kusalimiana na rais. Leo hii kila leo wanajipeleka ikulu ma kupiga picha.
 
Back
Top Bottom