Look easy but really difficult

yolk

Senior Member
Jan 29, 2017
137
240
Habari zenu wakuu..!

Kuna mambo ambayo sisi binadamu (hususan wabongo) tunapenda kurahisisha mno hata kama ni magumu katika uhalisia, ingawa ni kweli kwa mtazamo wa haraka haraka huonekana ni rahisi pia..!
Nadhani tukiyajadili yanaweza kutufumbua macho au kutubadilisha mtazamo wa kimazoea,

Kukubali mafanikio ya mwenzako.
Kufuata ushauri wa mtu.
Kukubali kushindwa katika mabishano au hata ugomvi.
Kujoondoa katika mahusiano hata kama yanakutesa.

Najua wewe una mengi zaidi yangu..! hebu tushirikishane, maana naona sasa watu tumekuwa tukifanya mambo kwa mazoea mno..!
 
Yapo mkuu..!

  • Kuacha punyeto (au any kind of addiction).
  • Kutafuta ajira hususan kwenye hii awamu.
  • Kumsamehe mtu unayemchukia kweli kweli
  • Kumsahau mtu unayempenda toka moyoni
 
Back
Top Bottom