Naaaaam mkuu mshana jr haya makitu yanataka stamina na uwezo wa kupambana na matukio ya ghafla otherwise unaweza ukaliacha kitonga kabla ya kufika kileleni...............cc: kyalankota KikulachoChako kwa heshima kuu
Mpwa long time no c, nasikia hakufai huko mi sipo niko Idodomya huku shwari tu
Na hiyo miscania hapo juu ikinyeshewa mvua ndio inakua balaa zaidi ati!hakufahi na jana mvua ilinyesha na leo ikinyesha tena itakua balaa
Na hiyo miscania hapo juu ikinyeshewa mvua ndio inakua balaa zaidi ati!
Bendera gani ya Simba ipo hv bi dada?mkuu mimi hapa hata sioni nimeona tu bendera ya simba nawaza tu narudi vipi GONGO LA MBOTO HAPA NIPO UBUNGO
Na hiyo miscania hapo juu ikinyeshewa mvua ndio inakua balaa zaidi ati!
Wenye leseni zetu!cc: kyalankota KikulachoChako kwa heshima kuu