long time ago nan anakumbuka hizo

long time ago nan anakumbuka hizo

Majumba yote si yalikuwanya kulipia, pale DriveInn ilikuwa unakaa nje unaangalia bure ila hamna sauti, lakini ukiingia ndani (uwe na gari lakini) ndio kulikuwa na vispeaker vidogovidogo ndio unapata sauti

Kwa sisi Hayo majumba ya kulipia ilikuwa maalum kwa siku za Sikukuu, na kupata ticket ilikuwa issue yaani magendo kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana chezea zamani
 
Nini sababu ya mapenzi ya watu wengi ya kwenda sinema kupotea?,sinema za kidosi zilikuwa zinapendwa sana,Mithun Chakraboti,mzee Ashanti,Govinda,nk....Hatya ya Govinda ( mtoto bubu) niliipenda sana...daah kitambo.
Kumbe hio movie ni ya kitambo sana, Mimi niliiona.

Sini ile ya mtoto aliemuokota ambae wazazi wake waliuwawa?
 
Kila.mtu ana Tv zimejaa muvi ss unaenda kufanya nn
Kuna tofauti kubwa kati ya kuangalia movie at home au kwenda movie theatre,nchi zilizoendelea toka kitambo watu bado wanaenda cinema na ticket lazima ukate in advance ama hutopata hasa week end.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana chezea zamani

Sio mchezo Sis husna muba , lakini maisha yalikuwa poa sana, wote tulikuwa tunaongea lugha moja, maana mtoto wa maskini na tajiri wote tulikuwa tunabanana kwenye usafiri, maduka, mahospital na shule hizohizo tu
 
Hapo mkuu kuna Enterprise Theatre, ilikuwa na hadhi yake ati! ipo maeneo ya Posta pale Mbeya mjini... mara ya mwsho nakanyaga Mbeya nakuta eti ni Kanisa la Winners Chapel.
Mnacheki movie za kihindi weee halafu ikifika pale kwenye INTERMISSION mnatoka mapumziko kwenda kula ndizi mzuzu na parachichi au popcorn by then tukiita Pepcon.
Nilikuwa naishi Jacaranda jirani kabisa na RTD sasa hivi ndio TBC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom