Long live Zanzibarians - Mapambano walianza kuondoa unyanyasaji

Watanganyika hayo hamuyawezi ,tunawaangalia kama mtaweza au mnatungojea tufanye tena,no way sasa ni zamu yenu chini ya CHADEMA,
 
Watanganyika hayo hamuyawezi ,tunawaangalia kama mtaweza au mnatungojea tufanye tena,no way sasa ni zamu yenu chini ya CHADEMA,
Nguvu za malaika mkuu zimetawala bara
tapatalk_1521235346840.jpeg
 
Zanzibar washakomesha unyanyasaji?!
Wameshakomesha si unaona hakuna malalamiko hakuna polisi kuvamia,haluna wale janjaweeds aka mazombi,wanasubiri huko kwenu waone hayo maandamano mliyoyapanga mtaweza au domo nyumba maneno,CUF walitangaza maandamano na yalianyika na purukushani zilionekanana na kusikika dunia nzima.sasa kazi kwenu CDM.si mnadai mnapendwa na wananchi,simnadai mlishinda uchaguzi kwa ufupi mna wafuasi wengi kuliko chama chochote hivyo mmeitisha maandamano bila ya shaka kwa wingi wa wafuasi wenu mtatawala uwanja,tuone.,mkishindwa bendera tunairudisha kwa wanangangari Mbowe na genge lake watakuwa hawafai nitawaona ni wababaishaji ,ubabaishaji nambari wani yale maandamano waliyoitisha ya UKUTA ,walishindwa kuyasimamia. Maandamano yanayoitwishwa na CUF huwa hayarudi ,Tunawasubiri tuone .
 
Nyie watu ni wa hovyo kabisa,sawa unajisifia maandamano,je serikali unayo?
Kuwa na serikali niupande wa pili wa shilingi,maandamano yalipangwa au hayakupangwa.Je yalifanyika,jawabu yalipangwa na yalifanyika,

Tunataka kuona yanayotamkwa na kupangwa na CDM yanafanyika vinginevyo mtakuwa hamfai ,mupomupo tu mkila ruzuku na kuwababaisha wananch,mnashindwa kuwajengea ushujaa mnashindwa kuwajengea uthubutu,

CDM mmewafanya wananchi kuwa waoga na sasa wanaogopa mpaka gari za ccm,

Tunataka kusikia mkifanya kweli,kama hakuna maandamano semeni tu haikuwa kauli ya chama Au mnasubiri kesho leo mnasema yameahirishwa kama mlivyo ahirisha UKUTA,mkaingia kwa gea ya mpaka mtakapo tangaziwa tarehe ingine,mkachomekea UKAWA.
Umeona hio clip mwanangangari anasema mpaka kieleweke ni suala la muda tu.Na ameivua nguo polisi na magereza kuhusiana na sheria za mahabusu,
Kama hamuwezi kazi za siasa nawaomba CDM mkae chonjo maana saa mbaya.clip inasema siasa si lele mama.
 
naona mumeshambulia chadema sana, kwani chadema wametamka kuwa watafanya maandamano, hahahaha, hii inanichekesha kama ya nondo kujiteka, mwenyewe hakutamka kuwa katekwa, hahahaha, tanzania yangu bana
 
naona mumeshambulia chadema sana, kwani chadema wametamka kuwa watafanya maandamano, hahahaha, hii inanichekesha kama ya nondo kujiteka, mwenyewe hakutamka kuwa katekwa, hahahaha, tanzania yangu bana
Haishambuliwi inahimizwa ifanye kweli,wanachama wanapoyea wanapigwa kwenye viyuo,wanapigwa risasi ,wanababikizwa kesi , viongozi wa CDM mpo wapi,mnafanya nini?

Nini kilifanyika RIO DE JENEIRO ni maandamano yaliyoitaka serikali itoe tamko na kuwawajibisha waliohusika,nyinyi kubwa kuwaita waandishi mkawapa upupu na wao kwa fani yao wakauweneza.
tuanze nape alietoa bastola,binsanane,lissu,rama,nondo ,wanaookotwa ufukweni ni wengi CDM chama chenye nguvu mnashindwa kuitisha maandamano ya aman kuitaka iwawajibishe wahusikai,hivi nguvu yenu ipo wapi? mnasghindwa na wanafunzi? hapa msitwambie mnataka wachunguzi wa nje ,itakuwa huko ni kutafuta pa kujificha mkijua hilo serikali hawalikubali ,Ni wazi siasa hamuziwezi subirini ruzuku tu,hamna njia za ushawishi amewashinda mwanafunzi vijana wadogo leo mnaendeshwa puta na Mheshi,iwa Polepole ameshawaunder estimate kuwa CDM hawawezi mapambano ya kisiasa,
 
Zanzibar imekaliwa na ndugu zetu hata rais wao tunamchagua sisi huku Dodoma. Mnabishaaa
 
Back
Top Bottom