Long distance relationship, uaminifu zero

Kwani ukiwa na mpenzi ndiyo asichepuke?? Kila moja atimize wajibu wake. Akae zaidi ya miezi sita kwani yeye malaika?? Kikubwa maelewano na masikilizano ndio jambo la muhimu.
 
Nikimaanisha uwezo wa kuvumilia, namaanisha pale ambapo anajijua anaye wa kwake na anampenda kidhati....Hiyo kutolewa bikra huwa wengi wanatolewa kutokana na kupenda...Msichana anatongozwa yeye anaamini mwanaume huyu ndie wangu wa maisha anaanza mahusiano then baadae anakuja umizwa....

mhm...wanawake hawana uwezo mkubwa sana wa kuvumilia. wangekuwa wanauwezo wakuvumilia tusingekuwa tunawageggeda na tungeoa mabikra
 
Weeeehhh wanaume wanaongoza...Wanatongoza haooo....yaani kwanza kaeni mahali kuwa wasichana kadhaa na wanaume kadhaa...Akipita mwanaume hutaona mwanamke akigeuka kumkodolea macho ya udenda...Sasa apite mwanamke lazima utakuta macho ya mwanaume yamegeuka.....Yaani sijui mkojeee...??

Uongo huo. Wanaoongoza kugawa ni wanawake
 
Nikimaanisha uwezo wa kuvumilia, namaanisha pale ambapo anajijua anaye wa kwake na anampenda kidhati....Hiyo kutolewa bikra huwa wengi wanatolewa kutokana na kupenda...Msichana anatongozwa yeye anaamini mwanaume huyu ndie wangu wa maisha anaanza mahusiano then baadae anakuja umizwa....

Na kwa nini akubali kugegedwa bikra yake kabla ya ndoa
 
Jamani mi nilishawahi kumuacha mwanaume....
Nipo nae anaongea nami ananisomea risala zake za kunitongoza tumekaa....Heee mara akapita mdada macho yoote yakageuka kwa yule mdada nikainuka nimeondoka eti km hatuma kumi yeye ndio anageuka anastuka sipo anaanza kuita...Khaaaahh nyie wanaume nyieee lol

Uongo huo. Wanaoongoza kugawa ni wanawake
 
Jamani mi nilishawahi kumuacha mwanaume....
Nipo nae anaongea nami ananisomea risala zake za kunitongoza tumekaa....Heee mara akapita mdada macho yoote yakageuka kwa yule mdada nikainuka nimeondoka eti km hatuma kumi yeye ndio anageuka anastuka sipo anaanza kuita...Khaaaahh nyie wanaume nyieee lol

Inaelekea hukufika vigezo alivyokuwa anataka. Kwahyo siku ya kupigwa sound wewe unakuwa unajua kuwa hapa napigwa sound??
 
Weeeehhh wanaume wanaongoza...Wanatongoza haooo....yaani kwanza kaeni mahali kuwa wasichana kadhaa na wanaume kadhaa...Akipita mwanaume hutaona mwanamke akigeuka kumkodolea macho ya udenda...Sasa apite mwanamke lazima utakuta macho ya mwanaume yamegeuka.....Yaani sijui mkojeee...??

Hivi wanaume wanazini na kina nan?? Kwanini wanaume wawe mbuzi wa kafara??
 
Back
Top Bottom