Long distance relationship, uaminifu zero

long distance ina work out sana tu... muwe na mapenzi ya kweli tu, mwanamke labda awe na hulka ya uzinzi ila kuna ugumu sana kumvulia pichu mwanaume usiempenda. kwanza hata nyege haziji
 
hahahaaaaaa unaziita genye njoo njoo ntakupa wali na nyama
 
long distance ina work out sana tu... muwe na mapenzi ya kweli tu, mwanamke labda awe na hulka ya uzinzi ila kuna ugumu sana kumvulia pichu mwanaume usiempenda. kwanza hata nyege haziji

Dah na hawa tunaowatindua huku kitaani nyege zinatoka wapi
 
Jamani mi nilishawahi kumuacha mwanaume....
Nipo nae anaongea nami ananisomea risala zake za kunitongoza tumekaa....Heee mara akapita mdada macho yoote yakageuka kwa yule mdada nikainuka nimeondoka eti km hatuma kumi yeye ndio anageuka anastuka sipo anaanza kuita...Khaaaahh nyie wanaume nyieee lol

hahahahaaaa umenikumbusha mbali kweli.
 
Nikimaanisha uwezo wa kuvumilia, namaanisha pale ambapo anajijua anaye wa kwake na anampenda kidhati....Hiyo kutolewa bikra huwa wengi wanatolewa kutokana na kupenda...Msichana anatongozwa yeye anaamini mwanaume huyu ndie wangu wa maisha anaanza mahusiano then baadae anakuja umizwa....

tatizo la wanawake wengi ni kwamba they actually dnt know what love is....many confuse infatuation na love...and in reality the love thing is just a lame excuse for them to open their legs....ili asionekana kuwa ni malaya.
 
long distance ina work out sana tu... muwe na mapenzi ya kweli tu, mwanamke labda awe na hulka ya uzinzi ila kuna ugumu sana kumvulia pichu mwanaume usiempenda. kwanza hata nyege haziji

We waonekana ni wa kuvuliwa sana umejuaje kama haziji
 
ndugu tusivunjiane heshima.. huna mandate ya kuni judge., fake ID isifanye u miss behave kwa watu usiowajua.. kupata the real you sio ngumu kama akili yako fupi inavyokudanganya. nakuheshimu, apply the same to me
 
Safi sana, ni vile sioni kitufe cha like nikutwangia
 
mapenzi yatabaki kua mapenzi tu na pia hustawi pale ambapo kuna uaminifu na si vinginevyo.. unaweza kua nae karibu na bado penzi likawa worse kabisa.what matters is FAITHFULNESS no matter how distant you two are.
 
ndugu tusivunjiane heshima.. huna mandate ya kuni judge., fake ID isifanye u miss behave kwa watu usiowajua.. kupata the real you sio ngumu kama akili yako fupi inavyokudanganya. nakuheshimu, apply the same to me

achana na msengerema huyo
 
Back
Top Bottom