Embu kwenda huko. . .
John kashasema "OUR first date" kwahiyo kaa chonjo bibie!!
Unajua ni sifa sana kutoka na Opra wa jf hata kwa sekunde??
Pesa ipo
atachagua anachotaka
afu nina upendo mkubwa kama Tabora
yaani dear john, just say yes to me
utaona magic nayoweza kufanyia
lizzy kutwa kucha yuko kwenye sare
za madira ya misuto
Hhehehehe!!Unalooooo. . . utaishia kupiga ngoma kwa wenzio!!akifanya hivi
ntajua love is colour blind
and some men has this disease
but marriage is bansen banner
will burn him hard
Kwahiyo we unataka John akuoe ili apate sifa wakati ndani analizwa kama Ndikumana?Lolz
Hhehehehe!!Unalooooo. . . utaishia kupiga ngoma kwa wenzio!!
tuingie MOU basi
atakayempata
anakuwa anamuonjesha na mwenzie
japo mara moja kwa mwezi
Duh...vipi TB hakutoshi??? au we na mali zake tu??
umpasue wapi!
Mie ntachukua kipande ya kuanzia kiunoni kwenda chini
acha lizzy akapike supu ya mabega
si anajidai mpishi mzuri
Duh...vipi TB hakutoshi??? au we na mali zake tu??
Ka small house ka kutoka nacho valentine, naskia TB atakuwa mererani!!
You are too selfish brother, ... a woman aged 18 - 24 for ..., and what about your age? weka terms of reference tuzijue. Hata huyo wa 18 - 24 ana haki za kufahamu umri wako pia. Je kama una miaka 70??I am looking for a woman aged between 18 to 24 , for dating and possibly marriage. Email :kadidi123@yahoo.com
ujue ntakufukuza mie mwenyewe
nilikukaribisha ukiwa na mfuko wa rambo
sasa naona unataka kuzoea hapa nyumbani
hebu kawalishe wale chihua hua wangu
Ka small house ka kutoka nacho valentine, naskia TB atakuwa mererani!!
I am looking for a woman aged between 18 to 24 , for dating and possibly marriage. Email :kadidi123@yahoo.com
lonelyness sikuzote zipo isipo kuwa sasa w2 tunafunguka kwa jamii yetu tofauti na zamani.Sasa si ungeenda kule love connect kama kweli upo sirias.Halfu siku hizi mbona hizi lonelyness zimezidi hapa JF ???kuna nini?
Sikuwa nikiifahamu Love connect , ila nashukuru na post yangu numepeleke huko vilevile.Sasa si ungeenda kule love connect kama kweli upo sirias.Halfu siku hizi mbona hizi lonelyness zimezidi hapa JF ???kuna nini?
bado niko kijana , makamo ya mika 25.You are too selfish brother, ... a woman aged 18 - 24 for ..., and what about your age? weka terms of reference tuzijue. Hata huyo wa 18 - 24 ana haki za kufahamu umri wako pia. Je kama una miaka 70??
Sikuwa nikiifahamu Love connect , ila nashukuru na post yangu numepeleke huko vilevile.