Endapo unafikiria wewe peke yako ndo hupatwa na upweke hata usiwaze sana mkuu, sisi kama binadamu kuna wakati kila mmoja wetu hukumbwa na upweke katika maisha yetu , Muhimu fahamu njia sahihi na stahiki za kupambana na huo upweke wako inasaidia sanaa
This point is very crucial, and have noted much of this experience. Cool boys are always boring and are not liked by girls.
Girls like charming and funny guys .
The world is just not fair
Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Unafikiri watu kushinda Bar unacheki EPL,Laliga na UEFA hadi saa saba usiku kwamba tunapenda? kote ni kuitafuta furaha tu.....upweke huleta maradhi mengi