Loneliness

Nadhani ni suala la kupata watu wa kariba yetu,ambao tunaweza ku-share nao masuala yetu mbalimbali,si lazima awe mpenzi,inaweza kuwa rafiki (ke/me) wa rika moja,au rika tofauti na hapo ndio pana ugumu.Lakini kwa kuwa wawazi kama hivi naamini tunaweza kuwapata.Hongera na pole.
 
Kwa hiyo umashauri wakati mwenzake anafanya kazi kwenye kijiwe chake yeye aende akae tu?
 
Kwa hiyo umashauri wakati mwenzake anafanya kazi kwenye kijiwe chake yeye aende akae tu?
Ni yeye mwenyewe anavyoona kulingana na muda wake....

Ukishakua mtu mzima akuna mtu anaekusukuma wala kukutuma ila majukumu, ndoto na malengo yanakuautomize.....!

Mihimu ni ratiba tu. Kuweka muda wa kurelax na kujichanganya na wadau si mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…