Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
Wangekua caucasian wala video hainge oneshwa hiyo nakwambia.
This could also be a justification to condemn 'integration'...
Kwa maana ya kwamba: kizazi cha nyoka ni nyoka tu.
At least that is how I perceive it!
This could also be a justification to condemn 'integration'...
Kwa maana ya kwamba: kizazi cha nyoka ni nyoka tu.
At least that is how I perceive it!
Yes, Kikwete anaenda kupewa hiyo communique. Angekaa tuu pale magogoni aisomee pale. Sidhani kama ata-present chochote as Conference yenyewe ni ya masaa matano tuu.
Pia kuna habari kuwa karibu "volunteers" 50 wa Kiingereza including white Christian converts and British-Somali men have been recruited by Al-Shabab. Msikilize huyo Al-Shabab fighter mwingereza kwenye video alleged to speak with "London accent": National News - ITV News
Al-Shabaab has managed to generate tens of thousands of pounds in funding through the UK-based Somali population which is estimated at 250,000. While some British Somalis willingly donate to the terrorist organisation, a proportion of the cash legitimately sent back to extended families in the country is syphoned off by the Islamists: British Muslims recruited to fight for 'al-Qaeda' in Somalia - Telegraph
Mwali unafahamu ni vijana wangapi wenye asili ya Somalia ambayo wanahodhi British Passports ambao walikwenda Somalia na sasa ni well trained fighters?