Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
Shame!Mkuu inasemekana itakuwa ni international conference ya 20 kuhusu Somalia tokea mwaka 1991. Kwenye conferences zote hizo, hakuna walicho achieve. Many Somali watchers thought the previous conferences were just big, expensive talking shop and for Somali politicians to stay in expensive hotels in foreign countries while people at home carry on killing each other and starving to death.
Kuna uwezekano hii conference itakuwa the same kama zilizopita japokuwa ni ya siku moja tuu. UK inadai imefanya a lot of groundwork kabla ya hii conference, lakini bado sioni kama itakuwa na mafanikio wanayokusudia. Sidhani viongozi wan nchi 40 kukutana London kwa siku moja kutatatua matatizo ya Somalia. Ni kujaribu kuionyesha dunia kuwa they are doing something.
Kama alivyosema Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza "We cannot turn Somalia around with one conference" japokuwa kama alisahau kuwa tayari kumeshafanyika conferences 19 huko nyuma. Nina wasiwasi kujihusisha kwa Uingengereza kwenye tatizo la Somalia inaweza kukuza tatizo. Somalia sio Libya.
Nasikia Turkey, which has stolen the limelight particularly in terms of humanitarian effectiveness inaandaa conference nyingine juu ya Somalia. Kwa hiyo hao wanaodhuria conference ya London, akiwepo rais wetu, watapaki tena mabegi yao ready for another grand meeting on Somalia in Istanbul.