Loliondo: Kama ni Lowassa tumeliwa!

kama ingekua ni mipango ya lowassa isingekuja kidizain hii.maana inawalenga wagonjwa tu.
kweli ruhumbuka alisema mengi ila hili la loliondo wala halijatabiliwa na mwanafalsafa. ni nyakati tu kama zilivyokua za nuhu,luthu na hata kipindi cha farao.

Mkuu, nakubaliana na wewe kabisa. Lowassa angekuwemo kwenye mpango huo wa Loliondo kwa mzee Mchungaji Ambilikile, kikombe kimoja kingegharimu minimum sh. milioni tano. Wangeingia makubaliano na mzee Ambilikile wenye sura ya Ki-Dowans Dowans kwa "kumzawadia" mzee huyo sh. mia tano zake na kumvisha uniform nyeupe ya Caspian. Wao wangebaki na fedha yote ambayo wangeiita "capacity charges". Vilevile, jenereta moja la Dowans lingeliwekwa hapo kwa amri ya mmiliki (rafiki yake mwandani) Rostam ili kufanya huduma hiyo iwe ya masaa 24, watengeneze chapaa zaidi. Kwa jinsi ilivyo sasa, hakuna kabisa mkono wa Lowassa hapo, ndo maana maji hayo yanaponesha, hayatulizi kisanii sanii.
 
Unatakwimu ya Walipona?!! mbona mmesema ni imani!,

Hakuna mtu atapona kwasababu mnasema dawa ikipimwa haiwezi kuonyesha kitu! maana yake nini hapo?

Maana yake hata mgonjwa akinywa then akapima tena haitaonyesha kama kapona!! au Mtasema Mgonjwa akisha kunywa hasipime ni imani!? Mtadai kuwa vipimo vya hospital haviwezi kuonyesha kama kapona au hajapona?! au Mtakuwa kigeugeu na kusema kuwa dawa haipimwi ni imani lakini mgojwa anaweza kupima baada ya kunywa mbona?!!

Hata hivyo tumedhiirishia Mataifa jinsi tulivyo, usainii wa aina yake katika historia ya Tanzania.

Kama musa angepiga maji na fimbo, then njia hisionekane alafu awaambie watumwa Wenzake kuwa tupite twende kuna njia tayari, ni imani msitake kuiona nyie twendeni ingekuwaje?
 
Unaonyesha huwa unafeli mambo mengi saaaana wewe... watu wanazungumza kuhusu huyu mwizi kurudi kundini... wewe na dawa za maji yaaani uko nje kabisa.

Hueleweki... ndo kusema huo ndo mchango wako wa Lowasa kurudi kundini?? Sasa hadi hapo umejadili nini sasa??
 
Back
Top Bottom