Viongozi wa Serikali hawawezi kuchukua hatua ya kuichunguza dawa hii kwa sababu wengi wametumia. Pia dawa hii ukitoka nayo nje ya eneo la babu inageuka kuwa maji ya kawaida na ukiiba inageuka kuwasumu, ukijihudumia mwenyewe inakuwa maji ya kawaida.
Miujiza haiwezi kufanyiwa utafiti wa kimaabara. Siku babu atapokosea masharti ya dawa hii basi ndiyo itakuwa mwisho wa tiba. hata akifa basi na tiba hii itakuwa mwisho wake. Nabii Mussa alipiga bahari na fimbo maji yakaachia njia, alipiga mwamba maji yakatoka. uwezo huu alipewa yeye peke yake na mungu kwa wakati ule.
Hoja ni EL, huyo mchungaji au uraisi 2015 ?
Naomba nikueleze huyu EL ni wa pale monduli,nje kidogo tu ya arusha town! Ni umbali wa km 350 mpaka loliondo;kwaio kwangu sioni uhusiano wa huyu mchungaji na EL.
Kwa wale wanaoamini,hili jambo la huyu mtu kuponya ni kweli kabisa. Sioni sababu ya serkali kuzuia watu kuponywa? Labda kama wewe mwenye hoja ni kakobe ambae kanisa lake waumini wamepungua baada ya wengi kumiminika huko loliondo!
Kama unaamini mashetani,nakupa pole na ushindwe.
![]()
Vipi na wanaochekacheka kama huyu wanatibiwa? Maana anachekacheka kama leader flani hapa nchini. Loh!!
Viongozi wa Serikali hawawezi kuchukua hatua ya kuichunguza dawa hii kwa sababu wengi wametumia. Pia dawa hii ukitoka nayo nje ya eneo la babu inageuka kuwa maji ya kawaida na ukiiba inageuka kuwasumu, ukijihudumia mwenyewe inakuwa maji ya kawaida.
Miujiza haiwezi kufanyiwa utafiti wa kimaabara. Siku babu atapokosea masharti ya dawa hii basi ndiyo itakuwa mwisho wa tiba. hata akifa basi na tiba hii itakuwa mwisho wake. Nabii Mussa alipiga bahari na fimbo maji yakaachia njia, alipiga mwamba maji yakatoka. uwezo huu alipewa yeye peke yake na mungu kwa wakati ule.
Sasa kama ukiiba inageuka sumu kwa wana chichiemu wamezoea kuiba hadi kura sasa wakiiba ikageuka sumu si tutapoteza viongozi wengi maana wengi sana wanaugua akiwemo juma kilaza
nashindwa kujizuia. Tatizo la serikali yetu ni kutokuwa wabunifu na kuenzi innovations za watu wao. Hapo walitakiwa kutuma jopo la madakitari kuchukuwa sample za dawa, na kutest wagonjwa wanaopewa dawa before na baada ya matubabu ili kujiridhisha scientifically hali ikoje. na kama ni ugunduzi then, kuweza kuu-advance zaidi na mzee mgunduzi kulinda hati milki yake kwa faida ya mgundunzi na nchi. Mwaka mmoja Iringa mtu aligundua namna ya kuzalisha umeme kijijini badala ya tanesco kujifunza, wakamshitaki kuwa anataka kuua watu. Kigoma kijiji cha mgombe na Nyachenda (kasulu) kulikuwa na wazee waliokuwa wanatengeneza bunduki aina mbalimbali za kusasa (siyo magobole); wakamatwa kuwa wataeneza majambazi. Hivyo, bado umuhimu wa kuendeleza local innovations hakuna tanzania, tunaamni katika importations. Lakini localization of innovations na defusion of external inovations ndo imeinyanyua china kiuchumi hadi kuwa hivi ilivyo-ya pili duniani.
Hoja ni kutaka Serikali kupitia Wizara ya Afya kufanya utafiti mdogo juu ya hiyo dawa na kutoa tamko elekezi, ili kuweka wananchni katika mstari sahihi, kuna imani kuna mazingaombwe na kuna-ushirikina vyote matendo na matokeo ya kazi zake yanaweza kufanana kwa mtazamo wa harahara
No no no.....the challenge is arleady in the table, you dont seem to know what are you discussing......the question is what is the relation btn Loliondo miracle maker and EL????...
Mr. Arafat you are still african particulalry Tanzanian! please take this as a challenge, our ministers, leaders name them they are obeying this magic because they are african this is our true religion..Islam and christian are imported from abroad and it seems these religions have failed to meet needs of Tanzanian! you are contradicting yourself that Mzee is truly amanifesting our true and only religion!
who said uchawi is wrong! if not why these people are following him...This is a challenge to your religions...at least Christian are doing the same, I have never heard in our religion muslims that people can be healed by Muhamada name!! have you??
Nadhani yule babu akihama kule Loliondo basi ile dawa haitafanya kazi. Kuhusu kuifanyia uchunguzi, wanasema hiyo dawa ukiondoka nayo mbali ya maeneo yake inakuwa haifanyi kazi inayotakiwa.
Umesema vema, MUNGU huwafikia wanadamu kwa namna tofauti kulingana na kizazi. Pengine kaona imani yetu imekuwa ndogo kiasi kwamba hatuamini kwa kuombewa tu,mpaka tutie kitu kinywani.Tusiwe na hofu kiasi hiki cha kuogopa kila kitu kwa kuhisi ni mbinu ya mafisadi kwani itafika mahali tutaogopa hata kula hotelini au kupanda mabasi tukihisi ni ya akina EL na RA
Hapo ndio doubt inapoanzia....kwani tatizo ni nini kama ukitaka kuondoka nayo....
Umesema vema, MUNGU huwafikia wanadamu kwa namna tofauti kulingana na kizazi. Pengine kaona imani yetu imekuwa ndogo kiasi kwamba hatuamini kwa kuombewa tu,mpaka tutie kitu kinywani.