lol!

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Mtoto:Baba nimempenda Lucy mtoto wa jirani yetu awe mpenzi wangu
Baba:Heri hata hujamtongoza,huyo ni dada yako
Mtoto:Baba nimekutana na msichana mwingine
Baba:Nani huyo?
Mtoto:Joyce mtoto wa jirani wa pili
Baba:Heri hata hujamtongoza,yule ni dada yako pia,ila usimwambie mama kuhusu haya
Mtoto🙁analia machozi huku anaenda kumwambia mama kwa hasira)
Mama:tatizo nini mwanangu
Mtoto:Nimependa wasichana wa jirani yetu kama sita ila baba amenikata eti ni dada zangu
Mama:Nyamaza usilie mwanangu,we mtongoze unayempenda,we sio kaka yao mana huyu sio baba yako
 
Mke:we mwanaume gani hujihusishi kutafuta hela ya chakula?
Mme:usinisumbue nyamaza
Mke:Heri ningeolewa na shetani kuliko wewe
Mme:dini hairuhusu ndugu kuoana
Mke:Unanuka kikwapa nenda kaoge
Mme:nilikuoa mwembamba,nilikuwa nakubeba,mwanamke gani sasa hivi siwezi hata kubeba mguu mmoja
 

mme> Mke wangu kanitandikie kitanda.
mke> Fimbo zote nimepikia
 
mme> Mke wangu kanitandikie kitanda.
mke> Fimbo zote nimepikia
Mme:naomba unyumba
Mke:kaoge kwanza
Mme😛oa baadaye,naenda kwa monica.
Mke:twende nikuogeshe
Mme:sina mda kwa sasa natoka
 

kweli mke ni shetani...dongo lote hilo halafu anakaa kimya?
 
kama hujui kusoma maandishi hata picha huoni?
 
Excellent we mkareeeee!!!!!!
hiyo picha ya jicho moja duh........!!!
 

We kila mahali c ni ***** tuuu...ndio nn hicho kama sio uchafu!!!
 
Comm inawasumbua nn, hapo nimeandika "seen" kwa mara ya kwanza nimetoa % kwa excellent
 

Hivi kutunga story cku hiz kaz eeh !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…