Loh....ni shida!!!

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
7,207
Reaction score
15,896
Pale bwana harusi anapoona Mc anamchelewesha ukumbini na kuamua kukagua vyombo kama yaliyomo yamo?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtu kabaniwa miaka miwili ya uchumba "ooooh mi bikra kukupa mpaka tufunge ndoa"ukame wa hapo lazima ufanye vituko tu.
 
Nilihisi ww ni ME Mkuu. Kumbe ni KE. Maana hilo neno ulilotumia huwezi kumkuta mwanaume analitumia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] avatar yako nzuriii sipati picha km ungekuwa ni wewe hslisii.... Teh teh teh
 
Anakutana na bonge la m-pedi!! Wanawake wote siku ya harusi huvaa pedi kwa tahadhari, mke wangu alinidokeza hilo. Iam sorry kwa kutoa siri
Wanashauriwa hivyo... Furaha sana au mshtuko unastua hedhi... Ko ni bora kujiweka tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…