Loh! Mh.Magufuli abatizwa rasmi!

Loh! Mh.Magufuli abatizwa rasmi!

Warren.T

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
900
Reaction score
318
Looooh!!....Mh.Magufuli abatizwa rasmi!!
 

Attachments

  • 1436807441607.jpg
    1436807441607.jpg
    54.1 KB · Views: 1,542
Looooh!!....Mh.Magufuli abatizwa rasmi!!

Hilo jina sio bure. Kule Kenya rafiki yake mkubwa Raila Odinga anaitwa Tinga pia. Siku Kenya ikiwa na Odinga na hapa Bongo Magufuli, patakuwa hapatoshi EAC.
 
Looooh!!....Mh.Magufuli abatizwa rasmi!!

Hamna kitu pale, kwani anaweza kuleta katiba iliyopendekezwa na Warioba? Kwani anaweza kumfuga Mkapa kwa kujimilikisha mgodi, kwani anaweza kurudisha nyumba zetu, kwani amnaweza kuilazimisha Stanibic itoe orodha ya majina waliochota fedha za ESCROW? Kwani anweza kurudisha nyumba zetu walizogawana katika utawala wa Mkapa? Kwani anweza kumfungulia mashitaka Kikwete kwa kuvuja katiba ya mwaka 1977, ya kuwasamehe wezi wa EPA? Wala sio hata jembe la mkono.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom