Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

mh!mbona mbuzi mwenye sijakuona nae?hakuna lolote!ulikokuwa useme tu !
alikuwa nyuma kwenye.pickup. Ulishakutana na mie naendesha ngarangara la Paw? Wewe ndo usemw ulikuwa unatoka wapi na taxi. Paw akiona ndafu mezani ataelewa mpango wote.
 
alikuwa nyuma kwenye.pickup. Ulishakutana na mie naendesha ngarangara la Paw? Wewe ndo usemw ulikuwa unatoka wapi na taxi. Paw akiona ndafu mezani ataelewa mpango wote.

hahhahahhaha umenigeuzia kibao sio!
bora hukuchungulia ndani ukaona nilikuwa na nani kule nyuma mweh!kingesanukaaaaje!
 
Akhu Unitue Mwanaume wewe Alokwambia Nataka nishoo :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: na Paw nani?
Nina wangu mie Katulia Nyumbani Mzima mzima ananifulia nguo zangu.
Huyo Paw hizo kazi ataziweza!!!!

We humjui pou,katika ma cheater yeye ndo numero uno,we subiri uone kama hujamsikia yuko mangapwani unguja na Madame B leo,nasikia atasingizia eti seva ya jf zanzibar imepata konkasheni.
 
Last edited by a moderator:

mwenzio mtoto wa kike, nimefundwa mie. Keki ya mupenzi hainunuliwi, napika! Za watoto nitanunua lakini nimekesha napamba keki ya besdei mama weh. Ukiona ndoa za watu zimetulia tafuta desa. Na chakula chake napika mwenyeeewe, cha sherehe mtavurunda nyie. Nikimpakualia wala hamtojua. Chezeiya ajira ya ndoa mjini.
 
Last edited by a moderator:
madameb, usije ukaponzwa na bepari. Mie sipigani vita, na especially wewe wa kwetu. Vikiidima utegona ishe iwe.
Ila B unamuongelea Pou, ndo nani huyo?

Namngosha yuhu mwaha wa Bukoba.
Bishanga wa Kwetu huwa Sirushi nae ngumi.
Inkutoe we Mgoshi Bishanga.........!!!!!!!!!!!!
Utaja Chidoleeee.
 
Last edited by a moderator:
basi yesheeeeeeee!lol
 
hahaha, yaani niache tikitimaji nije kwako embe, tunda la msimu. Jua likiwaka tu hupatikani, mara sijui uchachu? Sema tu, kelele za chura hizo wala hazitunyimi kunywa maji. Kwako siji, mtasubiri sanaaaa. Hata Paw aki-rip before me, siolewi tena.
 
Hahahaha! Yaan! utafikiri yeye ndie kazaliwa leo lol! Mke mwenza kwa mashauzi simuwezi!
 
Jinuso wapi kaka? Kwani paw ana kitu basi? Hela yote kamalizia kwenye kumnunulia vidani king'asti.

Kumbeee! Sasa leo ndo nimeunganisha dots kuwa picha, kuna siku nilipeanwa umbea kua masista zake Pou walikua wanamsogoa King'asti kwamba kazidisha mifusho! Hadi bingwa pande za kwao mnara umebakiza jiwe moko!
Tena inasemwa mifusho koktail Baga na moyo twende Kilwa twende, Kivinje haya! , Masoko zoa! Pemba pitia!
 
Last edited by a moderator:
hahaha, yaani niache tikitimaji nije kwako embe, tunda la msimu. Jua likiwaka tu hupatikani, mara sijui uchachu? Sema tu, kelele za chura hizo wala hazitunyimi kunywa maji. Kwako siji, mtasubiri sanaaaa. Hata Paw aki-rip before me, siolewi tena.

Nitakupa embe tofauti tofauti......yakikauka ya Muheza nakupa ya Iringa, yakiisha nakupa ya Ukerewe.
Haafu kumbe Paw tikiti maji......! Kila wakati kutiririsha maji, na maji yenyewe mepesi, njoo kwa embe, unalamba urojo mzito kwa nini usijenge afya
 
hahaha, yaani niache tikitimaji nije kwako embe, tunda la msimu. Jua likiwaka tu hupatikani, mara sijui uchachu? Sema tu, kelele za chura hizo wala hazitunyimi kunywa maji. Kwako siji, mtasubiri sanaaaa. Hata Paw aki-rip before me, siolewi tena.
Hahahahaha! Mke mwenza umeua lol.. Nimecheka sana
 
Hahahaha! Yaan! utafikiri yeye ndie kazaliwa leo lol! Mke mwenza kwa mashauzi simuwezi!

Umeona eeh, mwambie aje kwangu ale mema ya nchi!! PAW Kutwa PM imejaa makopa.
Halafu taarif nilizonazo ni kwamba atahamishiwa Jukwaa la chini kabisa, hapo ndio mwisho wa maneno.
 
Hahahahaha! Unamwita Bishanga na platozoom kuku?
hahaha, hii kazi ya moderator ni ngumu bora KUWINGA KUKU, unajua kiswahili hicho? Ukigeuka huku wametukanana, mara wamedhalilishana. Mkitongozana pm mnaachana jamvini na muamuliwe. Mnanizeeshea Paw wangu, aagh. Sijui lini ataretire tuhamie visiwa vya carribean tukale maisha.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…