Kengele za hatari zililia kichwani wakati nashusha mguu kutoka godoroni.
....
Is there a birthday message that can express my love for you? This is what I want your Birthday to usher in for the year ahead for you -
B - Blessings so that all your endeavors are successful
I - Inspiration to do beautiful things in life
R - Reassurance in times of being low
T - Tolerance for both happy and sad times
H - Happiness all year round
D - Daring to go in unfamiliar areas where other people haven't ventured
A - Admiration that other people will harbor for you because of your deeds
Y - 'Yes, yes, yes', a zest for everything positive in life
Have a super Birthday, my dear husband!
Naona unahamu ya kutafunwa mzima mzima na King'asti wewe! Hujui Paw ndio roho yake?Acheni kujipendekeza kwa pou,kila siku mnamwish agongwe na treni mpumue ban,kwendeni zenu huko!
Bwana Pou mi ndo rafiki yako wa kweli bro,kula basi five kwenye besdei yako. By the way ushaoa? Kama bado nakutunuku Madame B kama zawadi yako ya besdei,enjoy!
mke mwenza, jana nilikuwa nimechoka sana. Shem wako kaniacha nimelala kaniwahi huku. Nimeshamsemea kwa wifi AshaDii. Mara ati anaenda kujitafutia picha ya keki, nitamsema kesho. Weeh tuendelee tu. Njoo basi tukamilishe maandalizi.Wifi King, Mapenzi gani ya upendeleo hayo? mbona hujamrushia mu thread kaka yangu na hali yeye anakurushiaga na mara ya mwisho kakubadilishia na gari? Au ndio mambo ya Mute haya?? 😛ainkiller: