loh hii kali!

loh hii kali!

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
257
jaman wana jamvi híi sio story imetokea kweli, yamemkuta mtu wangu wa karibu sana, ambaye alibadilika gafla akawa kama hajielewi nikambana sana ndo akanisimulia kifupi huyu dingi ni member hapa jf haswa MMU, alikuwa na tabia ya kupm dada zetu kwa sana tu..
Mzazi huyo ana watoto na familia, siku ya siku akaja akamp mtoto wa kaka yake pasipo kujua manake hakutambua id ya mwanaye huyo, wahamishia mawasiliano kwenye simu lakn wakawa wanachat kwa sms tu, manake yule mzazi aliogopa kama wangekuwa wanapigiana ingekuwa rahs kwa mkewe kushtukia mchezo, wakapanga ahadi wakutane quality center, siku ya siku mzee akiwa njiani anawah apointment gari ikapata pancha ikabdi abadili tairi akamwarifu binti yule amepata tatizo njiani so atachelewa kufika, ila aagize vinywaji yeye atakuja kulipa..
Alipomaliza akaendelea na safari kufika pale akamwuliza yule binti direction aliyokaa na mavazi aliovaa ili amtambue kwa urahsi, ile anasogea tu anakuta ni mtoto wa kaka yake, ikawa bonge la aibu... Wazazi wenzangu hebu tuwe makn basi
 
ahahahahhahhahah safi!
alitaka agegede mtoto wa nani!
hiyo poa!
 
Mmmm we ulikuwa wapi hadi ujue hizo pm na pia tueleze huko quality Center ulikuwa upande gani yaani kifupi tupe source la sivyo umetunga hili stori.
 
Hapa jf unatikiwa uwe na akili mkichwa! Kama civyo unaweza kudate na mzazi wako!au mkaanza kuromance sms!tena wote mkiwa nyumbani!!TUWENI MAKINI ILI TUEPUKE LAANA & na Aibu
 
teeeh...teeeh..haaaa...eeeehh....oooohh.....uuuuh! story tamu...
:whoo::clap2::horn::majani7:
 
jaman wana jamvi híi sio story imetokea kweli, kuna dingi mmoja hapa jf mmu alikuwa na tabia ya kupm dada zetu kwa sana tu..
Mzazi huyo ana watoto na familia, siku ya siku akaja akamp mtoto wa kaka yake pasipo kujua manake hakutambua id ya mwanaye huyo, wahamishia mawasiliano kwenye simu lakn wakawa wanachat kwa sms tu, manake yule mzazi aliogopa kama wangekuwa wanapigiana ingekuwa rahs kwa mkewe kushtukia mchezo, wakapanga ahadi wakutane quality center, siku ya siku mzee akiwa njiani anawah apointment gari ikapata pancha ikabdi abadili tairi akamwarifu binti yule amepata tatizo njiani so atachelewa kufika, ila aagize vinywaji yeye atakuja kulipa..
Alipomaliza akaendelea na safari kufika pale akamwuliza yule binti direction aliyokaa na mavazi aliovaa ili amtambue kwa urahsi, ile anasogea tu anakuta ni mtoto wa kaka yake, ikawa bonge la aibu... Wazazi wenzangu hebu tuwe makn basi

Asante sana kwa kutueleza YALIYOKUKUTA. Hakika ni kwa mtu usiyetafakari unaweza kudanganyika lakini hii stori mwandishi ni yeye mwenyewe. Ulijuaje kuna PM zinaendelea kati ya hao wawili na ulijuaje ni ndugu, na ulijuaje kapata pancha nk..... DANGANYA MMOJA KWA WAKATI FULANI HAPANA DANGANYA WOOOOTE WAKATI WOTE BW.
 
Mmmm we ulikuwa wapi hadi ujue hizo pm na pia tueleze huko quality Center ulikuwa upande gani yaani kifupi tupe source la sivyo umetunga hili stori.

anko Billie huyu mzazi ni mtu wangu wa karibu hili swala alinishirikisha haswa baada ya kumbana sana, manake alibadilika sana
 
Mmmm we ulikuwa wapi hadi ujue hizo pm na pia tueleze huko quality Center ulikuwa upande gani yaani kifupi tupe source la sivyo umetunga hili stori.

Na kama siyo atakuwa ni yy mwenyewe!!!jf kiboko
 
Mgegedo unatafutwa kwa hudi na uvumba asiee wacha tu YESU atupitishe salama na kutuokoa kabisa. Amen
 
jaman wana jamvi híi sio story imetokea kweli, yamemkuta mtu wangu wa karibu sana, ambaye alibadilika gafla akawa kama hajielewi nikambana sana ndo akanisimulia kifupi huyu dingi ni membe hapa jf mmu, alikuwa na tabia ya kupm dada zetu kwa sana tu..
Mzazi huyo ana watoto na familia, siku ya siku akaja akamp mtoto wa kaka yake pasipo kujua manake hakutambua id ya mwanaye huyo, wahamishia mawasiliano kwenye simu lakn wakawa wanachat kwa sms tu, manake yule mzazi aliogopa kama wangekuwa wanapigiana ingekuwa rahs kwa mkewe kushtukia mchezo, wakapanga ahadi wakutane quality center, siku ya siku mzee akiwa njiani anawah apointment gari ikapata pancha ikabdi abadili tairi akamwarifu binti yule amepata tatizo njiani so atachelewa kufika, ila aagize vinywaji yeye atakuja kulipa..
Alipomaliza akaendelea na safari kufika pale akamwuliza yule binti direction aliyokaa na mavazi aliovaa ili amtambue kwa urahsi, ile anasogea tu anakuta ni mtoto wa kaka yake, ikawa bonge la aibu... Wazazi wenzangu hebu tuwe makn basi

tehe tehe, uguberali huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom