Ni jana tu usiku alikuwa anachezea Laptop yangu.
Leo nimefika Job,nafungua Yahoo Mail,automatic ika m sign in Yeye (May be bila kujua ali set "Sign in automatic" Option.
Nashawishika Kusoma Mails zake ila Nahis ntaumia Roho.
Should i carry on au nifanye kazi za watu kwanza,maana naweza Data Fastaaa.
Kwa heshima na taadhima usizisome ...funga na endelelea na mambo yako.. au mpigie simu mwambie sweetheart umesahau kulog out kwenye laptop yangu usikie atakwambia nini..