Logical Implication

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
1. kama A = B na B = C basi A = C

2. Ng'ombe wote wanakula majani, Tembo anakula majani, kwa hiyo Tembo ni N'gombe.

3. 'CCM ndiyo iliyoshika hatamu Tanzania' according to Y. Makamba,
'Mafisadi wameshika hatamu Tanzania' according to Mama M. Nyerere

4. Wanawake wote ni tegemezi, Bara la Afrika ni tegemezi

5. Watoto wadogo wote wanapenda hunyonya maziwa, wanaume wengine wanapenda hunyonya maziwa, hivyo wanaume wengine ni watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…