Lodilofa na majibu yake....

Lodilofa na majibu yake....

Jamaa>naomba lift
Lodilofa>mimi sina lift ningekuwa nayo ningekupa
Jamaa>sina maana hiyo yaani naomba nipande gari yako..
Lodilofa>pumbaf...umeona gari yangu ni mahindi au maharage mpaka upande shambani..!?HUKU AKIWASHA GARI NA KUONDOKA SPEED AKIMUACHIA JAMAA VUMBI.
nilikuwa namkubali sana Ndondocha wa tabasamu kama kuna anayekumbuka kituko chake akitoe jamani.
aaaaah aah jamaa alikuwa jeuri kweli.........Born town Vs Bush Stars ndo ilikuwa balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom