Locked iphone 6 plus 64gb inauzwa kama spare

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
730
Reaction score
644
Habari wadau nimeletewa mzigo na rafiki yangu kutoka SA iPhone 6 ipo locked kwenye icloud sasa baada ya kuhangaika sana bila mafanikio kuifungua ninahitaji kuuza kama spare. kama kuna mtu unamfahamu ananunua hizi mambo bac naomba unitajie na mahala alipo hapa dar. ASANTE
 
Ni pm nikupe msaada usiuze itafunguka hiyo
 
Habari wadau nimeletewa mzigo na rafiki yangu kutoka SA iPhone 6 ipo locked kwenye icloud sasa baada ya kuhangaika sana bila mafanikio kuifungua ninahitaji kuuza kama spare. kama kuna mtu unamfahamu ananunua hizi mambo bac naomba unitajie na mahala alipo hapa dar. ASANTE

Niuzie kioo screen mkuu yangu imevunjika
 
Habari wadau nimeletewa mzigo na rafiki yangu kutoka SA iPhone 6 ipo locked kwenye icloud sasa baada ya kuhangaika sana bila mafanikio kuifungua ninahitaji kuuza kama spare. kama kuna mtu unamfahamu ananunua hizi mambo bac naomba unitajie na mahala alipo hapa dar. ASANTE
Don't buy stolen goods, itakuja kukugharimu na utanikumbuka.
 
Habari wadau nimeletewa mzigo na rafiki yangu kutoka SA iPhone 6 ipo locked kwenye icloud sasa baada ya kuhangaika sana bila mafanikio kuifungua ninahitaji kuuza kama spare. kama kuna mtu unamfahamu ananunua hizi mambo bac naomba unitajie na mahala alipo hapa dar. ASANTE
Hamna cha SA wala nini!

irudishe ulikoikwiba tu lasivyo utakamatwa
 
Vibaka wenzio wakiiona iPhone utasikia wanasema “haiibiki hiyo” sasa wewe sijui ni kibaka leaner! usivamie fani za watu we endelea kuzama chumvini tu!
 
Habari wadau nimeletewa mzigo na rafiki yangu kutoka SA iPhone 6 ipo locked kwenye icloud sasa baada ya kuhangaika sana bila mafanikio kuifungua ninahitaji kuuza kama spare. kama kuna mtu unamfahamu ananunua hizi mambo bac naomba unitajie na mahala alipo hapa dar. ASANTE
Niuzie kioo boss kama bado IPO tafathali.
 
Daah hizi sim pasuwa kichwa sana. Namimi ninayo hapa. Imevunjika Kioo. Nilisha zungukaa kwa mafundi wote hola

Mimi imevunjika ila bado inatinga fresh nilichokifanya nimeiwekea protector ili isiendelee kumeguga maana kwajuu kioo kimemeguka limebaki shimo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom