BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,368
Kama ni lodge au geto ni very old, hilo pazia nilitumia miaka kumi iliyopita nikiwa Advance. Sema hapo kwenye safari na hiyo hapo chini ujakosa 200 Kaduna.
Old fashion na new fashion ni magari na mijengo,mapazia ni kazi ya wanawake
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Nilihama mitaa ile nimekuja mjini.
Imekuaje ikala mzinga? Usogee Nyamala kuna kijiwe kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Lodge ya sh. 7000