Marcovicsavic
Senior Member
- Nov 14, 2020
- 132
- 308
Hahhahaa em elaborate kidogo hoja hii ya ki'localWewe icheki hata jf inavyoendeshwa ki'local alafu utegemee ihudumie watu smart kichwani....hii inatutosha sisi. Ni yetu kivyetu vyetu
Hahhahaa em elaborate kidogo hoja hii ya ki'local
Mod akiona umemponda mtu wake anakupiga Ban, huo si ndio ulocal wenyeweHahhahaa em elaborate kidogo hoja hii ya ki'local
Du!Mod akiona umemponda mtu wake anakupiga Ban, huo si ndio ulocal wenyewe
Business model ya fb haijawahi kua yakuuza data hapo nakupinga, fb ina generate faida kwa ads(pay per view/clicks ) ads, kuuza data za user mzee ni illegal, watu wasinge tumia fb,Unless umri wako ni mdogo ila kulikua na local social network nyingi mno, zimekufa baada ya kina FB kuja na kubadili model ya social network kuwa bure, FB walipata hela kwa kuuza data zako, huku local mtu hata akitaka kuuza haziuziki, sababu ya mitaji ya hao wa juu ikafanya hawa wadogo wadogo wafe.
Ulichoandika ndio ambacho fb wanataka ujue, ila sio siri kwamba FB wanatumia data zako kujipa Umonopoly wa social media na kujioatia kipato zaidi. Soma hapaBusiness model ya fb haijawahi kua yakuuza data hapo nakupinga, fb ina generate faida kwa ads(pay per view/clicks ) ads, kuuza data za user mzee ni illegal, watu wasinge tumia fb,
Moja kati ya mambo muhimu ya kuzingatia kwenye social network ni usalama wa data za watumiaji
Umeelewa hoja lakini boss, em soma tena ,nilicho postInazungumzia Social network au Startup kiujumla??
Kama social network unauhakika Kuna hizo local social network kwasasa taja mfano wa hio local social network unayoijua moja tu?? Local nowdays watu wako kwenye Fintech, Edutech na Health hakuna mtu mwenye social hio ilikuwa miaka ya 2010-2013
Bado hai clarify unacho jaribu kukisemaUlichoandika ndio ambacho fb wanataka ujue, ila sio siri kwamba FB wanatumia data zako kujipa Umonopoly wa social media na kujioatia kipato zaidi. Soma hapa
Thousands of leaked Facebook documents show Mark Zuckerberg as ‘master of leverage’ in plan to trade user data
Facebook’s leaders seriously discussed selling access to user data — and privacy was an afterthought.www.nbcnews.com
Clarify...Bado hai cralify unacho jaribu kukisema
Yaah,Clarify...
Unategemea Facebook au Mtandao wowote wa kijamii uliotoboa wakuambie wanauza data zako?Business model ya fb haijawahi kua yakuuza data hapo nakupinga, fb ina generate faida kwa ads(pay per view/clicks ) ads, kuuza data za user mzee ni illegal, watu wasinge tumia fb,
Moja kati ya mambo muhimu ya kuzingatia kwenye social network ni usalama wa data za watumiaji
Kama unatoa hoja bila kutetea unataka nikubari tuh, ?Tatizo la mtoa mada ubishi nilichogundua