Well-placed sources say at least seven detectives are combing Washington DC, the US capital, and Boston in a bid to locate the ex-BoT governor � a central figure in the EPA investigation who has surprisingly not been officially questioned by authorities thus far.
Weka link!
swali wanamtafuta aliye hai katika wafu au mfu kati ya walio hai!?
Nitakuwa nimeshangazwa sana kama ubalozi wetu hapa marekani haukuhakikisha kuwa whereabouts zake zinajulikana kutokana na seriousness ya issue yenyewe!
Walisema hawamhitaji, then wanajua alipo na hivyo wakimtaka ni any time, then in a bid to trace his whereabouts, and then what?
Halafu ni kivipi kama wanajua kuwa anajificha then sasa si keshajua wanakuja?
Yani sasa sijui nimlaumu Bubu hapa kwa usanii ama niilaumu serikali!
Balozi Ombeni alishaulizwa Ballali kalazwa hospitali ipi? Akatamka kwamba amelisahau jina la hospitali hiyo. Aliulizwa swali hilo alipokuwa Z'bar kuhudhuria kikao cha mabalozi wa Tanzania nchi za nje.
Hivi kweli balozi ambaye watu hapa wamewahi kumsifia kwamba ni kichwa na mchapa kazi mzuri anaweza akasahau jina la hospitali aliyolazwa fisadi aliyehusika na upotevu wa mabilioni ya shilingi? au ulikuwa ni usanii wa aina nyingine?
Yaani hapa inabidi nicheke tu......kwi kwi kwi... Huyu mzee wetu Ombeni naye wanataka kumuingiza kwenye matatizo haya jamani.
Wamwacheni mzee wetu Ombeni "apumzike kwa amani" popote alipo!
LOL! MWK....wanaotakiwa 'kupumzika kwa amani' si wale waliostaafu tu? au hata wale 'walio bado kazini' wanatakiwa waachwe 'wapumzike kwa amani'? ...🙂
Usanii juu ya usanii wanaendela kufuja hela zetu kwa kujilipa ma perdiem ya dola kibao!
Balali akiwa muhsika wa skendo la EPA No. 1 iweje yeye ndo atafutwe dakika za lala salama?
Sasa nataka wani jibu swali moja tuu, KWANINI HAWAKUTAKA MSAADA TOKA KWA WAMAREKANI KUSAIDIWA KUMKAMATA BALALI????????kuna sabb yeyote waliitoa kw akuikataa ile ofa????
Ukiuliza maswali haya mkuu utajikuta kwenye njia panda ukiwa na hasira kwa kiwango cha juu. Just follow the dots na utajua the whole game inayochezwa hapa.