Unaowalenga wanaijua hiyo lugha? Ni udadisi tu.
Nilivyoona heading nikajua wanawafundisha kuku wa kienyeji chores mbalimbali kama SUA wanavyofundisha panya
Asanteeeeeeee Kamuzu!
Yaani nikiwa katikati ya hy thread swali kama lako likanijia.
hahaha! Na mie nikataka niwapeleke kuku wangu watatu training! Manake wanachakura garden yangu hadi basi!
Hebu mtoa mada muanzsihe na mafunzo kwa kuki. Kuna kuku wawili humu jf ntawalipia ada lol
Mkuu hebu fufua huu uzi. Nataka kufahamu zaidi kuhusu kinengunenguJamani, ajizi ni nyumba ya njaa na utamu wa ngoma mpaka uingie ucheze, wala sio kamradi ka kutengeneza pesa tu. Hebu fanyeni majaribio ya kuunda kikundi cha watu wachache tu halafu nije kuwafundisha kwa gharama zangu muone matokeo yatakuwaje?
Kinengunengu (brooder) ni kifaa cha kulelea vifaranga vya kuku ambacho nimekibuni mimi, kifaa hiki hakihitaji chanzo chochote cha nishati ili kuwapa joto vifaranga bali joto la vifaranga wenyewe huhifadhiwa ndani ya brooder na kuwafanya vifaranga wakue bila matatizo.We have an Organization known as Kinengunengu Agrovet Consultancy which basically made up of a group of retired Livestock and Agricultural professionals. Our goal is to train people, to start we thought it better to give priority in the case of local chicken because many people especially in rural and peri-urban are used to keep these chickens, but they lack the knowledge. So we ask potential fund partners in order to wide distribution of this knowledge especially for the rural elderly, women and orphans.
Thanks.
Call- 0715714234
- 0782714234
Nimeona YouTube kinavyotengenezwa lkn najiuliza kwa kilivyofungwa vile mule ndani vipi hewa ni ya kutosha kweli? Lakini pia kuna umuhimu wa kuweka taa kwaajili ya mwanga au hakuna?Kinengunengu (brooder) ni kifaa cha kulelea vifaranga vya kuku ambacho nimekibuni mimi, kifaa hiki hakihitaji chanzo chochote cha nishati ili kuwapa joto vifaranga bali joto la vifaranga wenyewe huhifadhiwa ndani ya brooder na kuwafanya vifaranga wakue bila matatizo.
Kina matundu ya kupitisha hewa kuzunguuka mduara wote, hakuna haja ya kuweka taa usiku wanalala tu ndani ya mduara na mchana wanashinda kwenye run ambapo wanapata maji na chakula, kumbuka Kinengunengu Brooder husaidia kuku wa kienyeji kuzaliana kwa wingi na kwa muda mfupi kwani kuku mmoja anaweza kutotoa mara 6-7 kwa mwaka badala ya mara 2 au 3.Nimeona YouTube kinavyotengenezwa lkn najiuliza kwa kilivyofungwa vile mule ndani vipi hewa ni ya kutosha kweli? Lakini pia kuna umuhimu wa kuweka taa kwaajili ya mwanga au hakuna?
Ok ni kizuri sana nimekipenda. Unapatikana wapi mkuu?Kina matundu ya kupitisha hewa kuzunguuka mduara wote, hakuna haja ya kuweka taa usiku wanalala tu ndani ya mduara na mchana wanashinda kwenye run ambapo wanapata maji na chakula, kumbuka Kinengunengu Brooder husaidia kuku wa kienyeji kuzaliana kwa wingi na kwa muda mfupi kwani kuku mmoja anaweza kutotoa mara 6-7 kwa mwaka badala ya mara 2 au 3.
Kati ya watu wameniacha hoi leo ni wewehahaha! Na mie nikataka niwapeleke kuku wangu watatu training! Manake wanachakura garden yangu hadi basi!
Hebu mtoa mada muanzsihe na mafunzo kwa kuki. Kuna kuku wawili humu jf ntawalipia ada lol