Local channel sasa ni bure; Asanteni sana continental

Local channel sasa ni bure; Asanteni sana continental

Kwahiyo mnanunua TV kwa sababu ya hizo channels nne za ndani kuwa bure?

Kwa Tz wanaojielewa ni Azam na DSTV wengine ngonjera tu. Yani unanunua king'amuzi unaona kabisa hakina future
 
Kwahiyo mnanunua TV kwa sababu ya hizo channels nne za ndani kuwa bure?

Kwa Tz wanaojielewa ni Azam na DSTV wengine ngonjera tu. Yani unanunua king'amuzi unaona kabisa hakina future
hahaaaaa kwani unataka tununue na channel ngap? continental ina channel zaid ya 50
 
Daaa kuna jamaa yangu wakati ule wa uchaguzi king'amuzi cha continental kilimboa hadi alikigawa bure
 
Startimes wanazuia ITV CHANNEL TEN NA EATV. Mpaka ulipie wakati hizi ni local channel zinatakiwa kuwa bure.
 
Hali ni ngumu sana, mda mwingine huwa najiuliza walau ikiwa mm napata chochote ktk miangaiko yangu lkn bado nalalamikia bei ya sukari! vipi huyu ambaye hana chochote? kila sehemu no access until payments.
Mamlaka angalieni hili matumizi ni makubwa kulikoni tunachokipata! Local channels ziwe free, tupate pakupumzikia, kuburudika tukitafakari mengine.
uko sahihi kbs mkuu
 
Back
Top Bottom