napenda kufaham hadi leo hii kwenye ungo wangu wa C BAND positition Hii ya Intelsat nayopata ITv. local chanelz zote zitaingizwa hapa au, hadi sasa ni zipi zinazopatkana humo?
na immam tv inapatikanaChannel zinazopatikana IntelSat za local ni ITV, Capita, EATV, Channel 10 TBC na Star TV na za nje ni TVM1, TVM2 na TIM.
nipo huku Geita kwa sasa naiona na Trenet Tv kupitia cable Tv inamaana nayo imeingzwa? na hata kwenye futi 6 zinapatkana? vp zile Ch10 na starTV zimerudi kwenye futi 6?