Kejeli na roho ya husda haitakusaidia katika maisha jifunze kuelewa mambo na sio kudakia kwa lengo gani na unafaidika na nini?
Nashukuru na pia na wewe Mungu akufanyie wepesi katika kuangalia mambo katika mtazamo chanya na sio mtazamo hasi kama ulionao ambao unautumia kama fimbo. Shukran.