Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi cha laki 3 nina shida ya dharura naomba anisaidie. Napatikana arusha.
Asante
We acha kujitia huruma isio na tija bana, hivi hata kama ni wewe mtu humjui hata kwa sura anaomba umkope kirahisi tu hivi utampa? Usawa wenyewe huu?
Kuna watu wana hizo kazi za kukopesha atleast details zako na dhamana uliyonayo ili upate mkopo ila sio kihivi