We acha kujitia huruma isio na tija bana, hivi hata kama ni wewe mtu humjui hata kwa sura anaomba umkope kirahisi tu hivi utampa? Usawa wenyewe huu?Kama ulipenda iwe ngumu basi nashukuru.
Utadhani anakopa jero, tena usawa huu hata jero haikopesheki tehAngejazia jazia tunyama japo kidogo![]()
![]()
Huenda ana shida kweli lakn kirahisirahisi hivi sidhani kama atazipa mhemko roho za wenye navyoUtadhani anakopa jero, tena usawa huu hata jero haikopesheki teh
Dah... Mbona kuna taasisi nyingi tu zinazoshughulika na mikopoAise basi mimi ni wa ajabu na kwanza kutoa thread ya kuomba mkopo humu na ni mimi peke yangu
wengine waliokua wanaomba walikua wana upekee
