Loan Officer wa chuo cha Ardhi ni jipu

Loan Officer wa chuo cha Ardhi ni jipu

Amuulize mwenzake wa ud kilichomkuta.. lile benz silioni tena[emoji23]
Yule aliekuwa anahonga wanafunzi magari,siku hizi kafulia??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!aiseeee kijana alikuwa anahonga magari na iphonessss yule!!kama amefulia basi alikuwa hajajiwekeza kabisa,maana alikuwa boss mutoto aisee
 
Kabisa mkuu

Jamaa ana roho mbaya sana

Lakini ukimuona utadhani ni mtu mwenye roho ya utu jamaa ana hadi Sigda zile za usoni za waislamu wanaoswali.
Avatar...!!
 
Mkuu Yeezus binafsi naona kama bandiko lako lina walakini fulani. Ili sisi wanajamvi tuweze kumhukumu huyo loan officer wa ARU nilidhani ungeliweka bandiko lako kisomi zaidi kwa takwimu na ukweli halafu uwaache wanajamvi waamue kama mshikaji ni guilty au innocent. Ili utusaidie naomba ufanye yafuatayo:

(i) Tuambie idadi ya wanafunzi wenye mikopo hapo ARU na utueleze wangapi wamelipwa stahiki zao na wangapi hawajalipwa. Hii itatupa picha halisi ya utendaji wa huyo ofisa.
(ii) Tunaomba utuambie huyo ofisa anafanya kazi na watu wangapi hapo ofisini kwake. Hii itatupa picha kama yeye ni mzembe na jipu kama ulivyosema au ameelemewa na majukumu na anahitaji usaidizi.
(iii) Unasema wanafunzi wanaosaini mikopo wanacheleweshewa hela zao au hawalipwi kabisa! Mbona sisi wanajamvi hatujawahi kusikia migomo hapo ARU inayotokana na wanafunzi kutolipwa fedha zao za mikopo? Pengine sisi tulio nje ya ARU hatujui yanayoendelea huko tunaomba utupe mfano walau mmoja wa mgomo uliotokana na kadhia hiyo ili tujiridhishe kwa sababu haiwezekani wanafunzi wasilipwe halafu wakae kimya!
(iv) Sanjari na (iii) hapo juu kwa kuwa unaonekana una elimu fulani kuhusu masuala haya ya mikopo ya elimu ya juu si vibaya ukafanya utafiti halafu ukatujulisha wanajamvi kanuni za HESLB zinasemaje kuhusu utaratibu toka fedha inapopokewa chuoni, muda wa ulipaji na urejeshaji wa masalia HESLB.
(v) Unasema jamaa alikataa kupokea fomu za rufaa za wanafunzi (appeal forms), ina maana unataka kutuaminisha kuwa fomu za wanafunzi wa ARU hazikuwasilishwa HESLB na hakuna mwanafunzi hata mmoja wa ARU aliyekata rufaa aliyepata mkopo? Je, aliwaonyesha barua ya deadline ya Des. 15, 2016 ya HESLB yenye maelekezo hayo? Je, HESLB walileta barua nyingine kutengua ile ya awali au walimpigia simu tu?
(vi) Binafsi naomba unifafanulie neno unemployment ulilotumia kwenye bandiko lako linamaanisha nini maana sijaelewa lina uhusiano gani na mada husika.

Tafadhali jibu hayo maswali ili wazee wa kazi tuingie chimbo kumtumbua huyu jamaa. Asante.
 
Mkuu neno unemployment ni typing error haina maana yoyote nisharekebisha tayali
 
Migomo ipo chini chini mkuu hawajawahi kugoma ile moja kwa moja kuna mtu mpaka leo anazungushwa na laki 7 yake na ameshaasaini tayali
 
Sasa Mkuu sample ya mtu mmoja kweli inatosha to discredit everything that the loan officer is doing? Anyways, sasa jibu hilo bandiko langu namba 31 ili tulifanyie kazi. Haya si mambo ya kuhemkwa tu. Tunataka facts ili tuzifanyie kazi. Jibu kama nilivyokuelekeza hapo. Asante.
 
Mkuu huyo ni mfano mmoja tu ila wapo wengi wanaoumia kwa ajili yake.
 
Tatizo wanafunzi wengi in wasumbufu ,inatakiwa mjirekebishe sio kila kitu kulalamika kwamba mnaonewa na nyinyi fuateni sheria za chuo na taratibu zilizowekwa.
 
Acha ujinga wewe ,una uhakika gani kama anasoma hapo?

Kuleta mada humu haimaanishi kwamba mleta mada anasoma hapo bali yeye katumika kama muwakilishi tu basi na si vinginevyo
kwa hiyo ni basha wako mbona unamjimbia?
 
sasahivi ameshajua namna walivyomposti jf maana tumeenda kwake akatwambia kwamba "najua mmeniposti jf ili wanitumbue lakini bado mmenikuta mbaya wenu" tukamwambia sisi hayo hayatuhusu tupe majina tusign bum .
kiujumla jamaa anaboa na bila kumheshimu unaweza kumtemea mate
 
Yani unaweza kwenda loarn board kuuliza taarifa zako wakakwambia hazijafika ukienda kwa loan officer anakwambia ameshazipeleka ukimwambia kwamba taarifa hazipo anasema zitakuwa kweny mzunguko ...mzunguko gani huo ambao loans board hawautambui
 
Back
Top Bottom