Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,588
- 25,563
Wanafunzi wengi wa chuo cha Ardhi wamekuwa na kasumba ya kucheleweshewa mikopo yao au kutopewa kabisa licha ya kusaini majina yao kwenye majina ya watu waliopata mkopo.
Pia hata kwa wale ambao walikuwa wana appeal kuhusu mkopo huyu loan officer alikataa kata kata kuwapelekea fomu zao na alidai kuwa deadline ilikuwa 15 December mwaka jana hivyo basi waliopeleka fomu zao baada ya hapo alikataa kuzipeleka na kuwatolea maneno ya dhihaka.
Baadhi ya wanafunzi hawakukata tamaa waliamua kwenda Heslb kwenda kulalamika kuhusu suala hili kwa sababu deadline ya heslb ilikuwa ni jan 31 wale watu wa heslb wakampigia simu na kumuamuru apokee fomu za wanafunzi jamaa alikubali lakini ilikuwa ukimpelekea fomu anaziacha pale pale ofisini kwake yani kwa kifupi ni jeuri na hataki kabisa kushughulikia masuala ya mikopo kwa wanafunzi.
Akijua kuna wanafunzi wanakuja ofisini kwake anafunga mlango kabisa na kujikausha kana kwamba hamna mtu ndani.
Na ukifanikiwa kuingia anakupangia u muda mwengine ambao anajua fika utakuwa ni muda wa vipindi.
Serikali ingilieni kati suala hili wanafunzi wengi wa chuo kikuu cha Ardhi wanaumia sana kwa sababu yake.
Wengine mpaka wameacha chuo na kughairisha masomo kwa ajili yake.