Bratherkaka
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 101
- 10
Daah! Baada ya kupelaka birth certificate na matokeo ambayo tulikuwa tuma miss..hadi Leo tuko depending au ndo tumekosa..wakati kweny vya habari wanasema watu wote tumepata...???
Mara ya mwisho nilipopima uzito nilikuwa na kilo zangu 56kg Jana nimeenda hospitali kupima nimekuta Nina kilo 50kg yaan hapa nilipo daah!!!