Ndugu zanguni kitendo kinachofanywa na bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kinaonyesha dhahiri kuwa bodi ile inaendeshwa kimagumashi.
Sasa hivi ili kuhakikisha wanakusanya madeni yote sugu wameanza kuwakata pesa hata watu ambao hawajawahi kukopa mikopo ya elimu ya juu na pengine hata hiyo elimu ya juu hakufika swali la kujiuliza wametoa wapi hayo majina hapo ndipo nakumbuka kuwa ile mikopo hewa imetafutiwa wabebaji kinyemela.