Loan Allocations for SUA First Year Students in Academic year 2016/2017

Loan Allocations for SUA First Year Students in Academic year 2016/2017

Nafasi za first year SUA ni zaidi ya elfu mbili. Waliopata mkopo ni 1204 hivyo nusu tu waliobahatika kupata mkopo first batch.
Ina maana nusu yote iliyobaki watapata kwenye second batch au ndo hicho kinachodaiwa cha kuisoma namba?
 
Sehemu kubwa ya kozi za SUA ni priority kwenye mikopo. Tutegemee sehemu kubwa iliyobaki watapata kwenye second batch.
 
Hivi kuna wanafunzi wa SUA waliochaguliwa kwenye second batch lakini wamepata mkopo kwenye first batch?
 
Back
Top Bottom