Loan Allocations for SUA First Year Students in Academic year 2016/2017

Duuuuuuhhhhhhhhhhhhhh hii hatar kwa maana sasa hv boom n tofaut mtu a nachukua had elfu 45 daaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhh RIP ELIMU TUTAKUMIC
 
Oyo we umepata daaah naona hzo mean test grade mm simo na sijajua!
cjapata nasubir 2nd batch maana course za priority kama BVM hayupo hata mmoja so nasubir 2nd batch itokee.sio kwamba ukikosa first batch huna vigezo!hapana..ni zoezi endelevu kwa hiyo ni kuvuta subra tu.
 
Huu ni Uhuni Wa Kupindukia!! Habu Angalia Hii → Gharama za kuomba Mkopo:


Application = 30,000
Internet = 2000
Passport = 5000
Mahakamani = 20,000
Ofisi ya Kijiji = 10,000
Printing = 5000
Bodaboda = 2000
Ems = 13100

JUMLA = 87,100

Halafu Mkopo Unapewa →→ 77,100/=

Aisee hapa tunaisoma namba....
 
Huu ni Uhuni Wa Kupindukia!! Habu Angalia Hii → Gharama za kuomba Mkopo:


Application = 30,000
Internet = 2000
Passport = 5000
Mahakamani = 20,000
Ofisi ya Kijiji = 10,000
Printing = 5000
Bodaboda = 2000
Ems = 13100

JUMLA = 87,100

Halafu Mkopo Unapewa →→ 77,100/=

Aisee hapa tunaisoma namba....
hujaweka nauli ya kutoka jkt kuja kuapply...
 
Back
Top Bottom