Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,206
- 1,151
Naona means test imechukua mkondo wakeeeee
Yaaah,wawili 100%Naona means test imechukua mkondo wakeeeee
ndo boom hlo kwa mwaka,na waliopata 100% ni wawili tu first batchahaaa hao wawl wa kwanza inaamaana boom ndo 45000 tu hau m ndo sielewi.....
jesus christ yelew madesa kwa her inamaana nina mkopo alafu ndo 45000 du huluma sana bola wasingewapa mana hilo ni balaaaando boom hlo kwa mwaka,na waliopata 100% ni wawili tu first batch
ni balaaa mkuu yani 3500 kwa mwezijesus christ yelew madesa kwa her inamaana nina mkopo alafu ndo 45000 du huluma sana bola wasingewapa mana hilo ni balaaaa
na bdo una tamba una mkopo alisema mtanikumbuka na kwel yametimia....................... kuingia chuo ni kama bahat mkopo ela ya pipini balaaa mkuu yani 3500 kwa mwezi
hiyo ni first batch na course kibao hazipo hapo kama BVMWamepewa 1200+ tuu. Hivi walioapply ni wangapi?
ngoja tusubiri tujue hatmana bdo una tamba una mkopo alisema mtanikumbuka na kwel yametimia....................... kuingia chuo ni kama bahat mkopo ela ya pipi
wizara ya elimu ivunjwe tu maana haya madudu sasa ni tishio hao wakina taifa jipya panya road watapunguaj tuna tumaini vita kuja vikundi vingine hatalishi zaidi hivi hii imekaaje kwa hawa wadogo zetu wenye EEE mana ata diploma hawafaingoja tusubiri tujue hatma
web ya chuooyo we umeyapatia wap