LOAN ALLOCATION STATUS.

Rashidi7

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
612
Reaction score
212
Habari!! Niende moja kwa moja kwenye kiini cha mada ambayo inakuja kwa mtindo wa swali,He huchukua mda gani toka kutangazwa kwa majina hadi kujua allocation yako ya mkopo maana siku zinaenda na hakuna jipya kwenye accounts.
 
Huwa ni punde baada ya majina kutoka mfn Lisa ila mwaka huu sijajua mipango wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…