Kaka kusoma miaka mi3 au mi4 cyo determinant ya kuwa mkali LL.B instead ni mtaala tu wa chuo husika wanavyoupanga, wewe ungekua msomi ucngekurupuka kuandika mashudu kama haya, kwa taarifa tu ni kwamba ili degree itimie na kuna idadi ya units kadhaa kama ckosei ni 360 ambazo zinapatkana ktk masomo principal na electives ambayo mwanafunzi anasoma chuoni (kwa kozi nzima ya LL.B in Common Law countries principal subjects ni 36 na kila somo lina units 10 kwahiyo 36 ¤ 10 = 360 units ambazo ndio znakamilisha Degree, ila ukikuta chuo kinaamua kuongeza masomo pia haijakatazwa ila 36 ndio Lazima)
Mzumbe for example wao ni miaka 3 na kwa semester wanasoma masomo 6 so mara semester 6 ni masomo 36 tayari, Udsm na SAUT on the contrary wanasoma less than 6 subjects kwa semester sasa mathematically tu unahic watamaliza masomo yote 36 ndani ya miaka 3!!? Ndio maana wanaongezea mwaka wa 4 lakini haimaanishi kwamba eti huo extra year ndio wanapewa nondo za kuwatofautisha na vyuo vingine hamna kitu inshort hamna ulichosoma ww mtu wa miaka 4 ambacho mwenzio aliesoma miaka 3 hajakisoma!, acha nonsense uwe mdadisi cku nyingine na for the record kwa taarifa yako hvyo vyuo unavyovijua wewe kwamba ndio top duniani kama Harvard, Cambridge, Oxford, Princeton na Duke University na vingine kibao hapahapa Africa esp vya South Africa na Kenya LL.B ni miaka 3, jitahid kumeza hivyohivyo hata kama ya uchungu!