acha uongo,dr migiro hakua na 1st class ila alikua the best female student kwa mwaka wao.
Hata huwa hufuatilii mambo UDSM kuna first class 4 tu,prof.majamba,prof.kabudi,dr.tenga,dr.migiro
Hv migiro anaweza toka na first class kulizid kembe Kama Mwakyembe,Warioba na Mvungi R.I.P
Kweli wewe mimba yako ilitungwa kwenye mkesha wa mbio za mwenge
Wewe si umesoma SAUT ? chuo cha kata ,chuo cha wasio na akili
Chuo cha kata hicho but kwenye life unapanga foleni,pole kijana
Najua bado upo kwenu ndo maana
natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice
Hahahahah mnaosoma vyuo vya private hamna akili wengi! DIPLOMA YA LAW YA MZUMBE ni bora kuliko degree ya sheria ya SAUT
Ist class ya Tumaini?nyambaf..ni sawa na pass ya UDSM...maana hicho chuo mnadanganywa mnapewa marks za juu ili kuvutia biashara..
Sina wivu.
Nisivyo na wivu, hata wivu wenyewe ukiniona utanionea wivu.
Hujajibu hoja, umekuja na viroja.
First off, sijaitaja UDSM. Naongelea somo la sheria dunia nzima. Kama umeona UDSM tu wigo wako mdogo kimawazo.
Sheria itakuwaje ngumu somo unasoma kwa vitabu tu? Kuhusu habari ambazo zimeandikwa na watu tu na zinazoweza kupindishwa siku yoyote na watu ambao hata hawajui sheria?
Utaniambiaje kwamba kusoma sheria ni kugumu kuliko kusoma habari za "transcending the rapture of the space-time continuum at the singularity of a black hole" kwa mfano?
Dege Dege, Lissu ni school mate wangu tangu Ilboru, wakati huo akiitwa Antipas Tundu na alikuwa toto tundu kweli.
Pia ni kweli ndio alikuwa best performer wa mwaka wake lakini kuwa best performer ni kitu kimoja na kupata 1st Class ni kitu kingine. Best performer anapatikana kila mwaka hata darasa zima wakipata pass, mwenye lower second ndie best perfomer.
Tindu Lissu alipata Upper Second na GPA ya juu kabisa with honours ila sio 1st Class.
Mlisikia wapi Ist Class wa Law anaomba kazi?. 1st Class wote kwanza huwa wanakuwa retained na chuo husika. Hugombewa kupewa scholaship ya masters na ajira juu, hivyo mwenye 1st Class huunganisha shule na sio kutafuta kazi, kazi ndizo huwa zinawatafuta watu hawa!.
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.
UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.
Dogo, fanyia kazi huu ushauri ni mzuri na usipoufanyia kazi leo utaufanyia kazi miaka 20 ijayo so the earlier the better. Anza sasa ungali kijana uoate uzoefu na inalipa sana, sana sana.hongera ila nakushauri jiunge na vijana wengine kama sita mfungue kituo cha msaada wa kisheria , pia mnaweza kutoa njia hii online kupitia mitandao
TUMAINI NACHO UTAZUNGUMZIA WANATOA SHERIA?
Kitu rahisi tu icho chuo kiko kibiashara zaidi
na kuhusu Tindu Lissu
biograph yke ina onyesha alipata Upper Second.
Ni ajabu la 8 la dunia baada ya maajabu 7 1st Class wa sheria anaomba ajira Jamii Forum.
Iko wazi tu kwamba 1st Class wote huwa wanabakizwa chuo kufundisha.
Km hata chuo chako cha Matumaini hakija kubakisha basi ndo ujue iyo First class yako ni Tasa haizai
napita tuKwa hyo ndo umeamua kuutangazia umma wa watanzia kuwa una 1st class Llb frm 2main?
Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.
UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.
Majamba ni kichwa mbaya!.Ebwana huyo Majamba Uprofesa Wake Yaonekana Kapata Kwa Umahiri wa Kujamba Jamba Hovyo au????????
Duh...sasa sijui tumuamini nani.