@lizzy na wenzio, mkaka akiwa na gari tu anang'oa?hata iwe STK au SU!!

Wewe theory yako ya mwaka 47! Kuwa gari ni utajiri! Wanawake wanaojitambua (wa beijing) hawashobokei cha mtu awe buzi, mume ama bf! Imani ni kuwa kama wewe unaweza kupata hiyo gari basi na mwanamke nae hana kizuizi cha kuipata. Kama walivyo wanaume wanaopenda mteremko na wadada nao wapo.

Kwa taarifa yako Beijing ndio wanaoshoboka kupita kiasi.
kwanza ubeijing mara nyingi ni ushamba fulani. na hawa ndio uhongwa magari na wazee kwa kisingizio cha maendeleo na usawa.
Hata hivyo washamba wa magari hasa hasa ni wanafunzi, baamedi na vibinti vilivyoajiriwa saluni.
ukifuatilia zaidi ni zile character za kujipaka mkorogo, siyo real women.
 
...mkuu bora anayehongwa kidogo namuona matawi na ni mjanja...ila kadi ya gari hakikisha unayo orijino...
hao ninaosema mm hawahongwi zaidi wataipanda ile STK kwenda machinjioni tu(GH), nakurudi anapewa nauli...
 
haswaa Mwanmke mjanja hawezi akashobokea gari, mwanamke mjanja hua anajishughulisha na ujasiriamali na kufanya kazi kwa bidii ikiwemo kujiendeleza kielimu...
Mwanamke mshamba ni vile vitoto vya Chuo tena vinavyotoka vijiji.. a.k.a kuku wa kienyeji

Watu mna misemo nyie..........!!!
 
Bagah bana. . .haya asante kwa kutumia jina langu, ila siku nyingine utalipia!!

Nwy wanaoshoboka na magari wapo sana tu wala sio siri ila huwezi ukakuta mwanamke mjanja kwenye kundi hilo. Kwa maana nyingine hiyo ni aina nyingine ya ushamba!!

siku izi unauza shilingi ngapi?
 
Bagah bana. . .haya asante kwa kutumia jina langu, ila siku nyingine utalipia!!

Nwy wanaoshoboka na magari wapo sana tu wala sio siri ila huwezi ukakuta mwanamke mjanja kwenye kundi hilo. Kwa maana nyingine hiyo ni aina nyingine ya ushamba!!

n umesahau mamy na ulimbukeni juu mana hawajielewi.
 
hapa Mwanza ukitaka kuwadaka wengi vaa 'ovaroli' zenye chata ya GEITA GOLD MINE,chini piga buti kubwa ya kazi....hapo hata yule aliyezaliwa mjini au graduate wote wanadakwa tu....hivi hawa dada zetu hawajui kama migodini kuna kima cha cha chini cha mshahara? Magari ya STH ndio kabisa usiseme.
Binti yangu leo katimiza mwaka mmoja...H.B.day Doreen! nitaanza kumfundisha jinsi ya kuwa huru,utegemezi ndio chanza cha ujinga huu!
 
wanaoshobokea magari bado hawajajitambua katika ulimwengu huu, independent women awezi fanya hivyo hata kidogo ingawa swala hili nimeliona sana chuoni hata watu wanadiriki kusimuliana eeh ma boyfriend ana gari aina hii na kingine siku hizi kazi ya mwanaume inashobokewa na cheo alichonacho.
 
Wanaume wanaowaingia wanawake wa gia ya magari na pesa pia wana mapungufu.................according to me
 
Mtu akijua upungufu/mapungufu yako lazima ayatumie kwa faida yake. Kwahiyo mi naona hao wanaume wako sawa tu, isipokua pale wanapomfuata mwanamke asieshoboka kwa gia hiyo hiyo, au wanapoamini kwamba kwa gari/pesa wanaweza wakampata mwanamke yeyote yule.
 
Sio gari tu..madereva bajaji huku mbezi..wanaongoza kuchukua dada zetu kwa lifti 2..then kinaeleweka..
 
Mtu akijua upungufu/mapungufu yako lazima ayatumie kwa faida yake. Kwahiyo mi naona hao wanaume wako sawa tu, isipokua pale wanapomfuata mwanamke asieshoboka kwa gia hiyo hiyo, au wanapoamini kwamba kwa gari/pesa wanaweza wakampata mwanamke yeyote yule.
Hujambo kwanza?
Juzi tulikuwa tunasafiri kidogo halafu nikawa kwenye gari na mama mmoja hivi akawa anatupa stori ya rafiki yake mmoja wa kiume ambaye sijui kasoma sana na ana hela sana lakini kila siku analizwa na wanawake mpaka katika age ya 37 hajaoa. Mi nikacoment kwamba tabu inawezekana anapowataka hao wanawake wake anaenda katanguliza hela zake na elimu yake kwahiyo hata hao anaowapata wanakuja kwa stail hiyo so wanakuwa na watu wao wanaowapenda sincerely, dah aliniwakia mpaka nikawa mpole kwasababu tu naye nilimgusa coz ana degree tatu na kaachika siku nyingiiiiii
 
Mi sijambo. . hofu kwako Jr

Hehehehe ila ukweli ndio huo.Ukitumia kitu kumpata mtu au hata kumcontrol nacho watakuja wakitumie wakisharidhika wanakuacha solemba.
 
Wanaume wanaowaingia wanawake wa gia ya magari na pesa pia wana mapungufu.................according to me
upungufu uko wap hapo mkuu...hiyo ndio zana yake acha atumie...kila mtu anastyle yake yakupata ile kitu...
hiyo yakwako unayotumia mwingine anaona ni dhaifu pia
 
Back
Top Bottom