EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,090
Mi mzima, dah watu hawataki kuambiwa ukweli asee......maana huyo mama alikuwa mkali ile mbayaMi sijambo. . hofu kwako Jr
Hehehehe ila ukweli ndio huo.Ukitumia kitu kumpata mtu au hata kumcontrol nacho watakuja wakitumie wakisharidhika wanakuacha solemba.